BBC Swahili Narcolepsy Feature

Narcolepsy: Hali inayokufanya ulale kila wakati Kulala ni jambo la kawaida, lakini utamchukulia vipi mtu anapopatwa na usingizi wa ghafla. Hili ni tatizo la kiafya linalojulikana kama Narcolepsy. Kwa kawaida binadamu hulala kuanzia masaa ya usiku , japo kuna wengine ambao kutokana na kazi hulala mchana. Watch Video: BBC Swahili …